Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia amesema kuwa washukiwa wote wa mauaji ya mwandishi Jamal Khashoggi, mashtaka yao yatasikilizwa nchini Saudi Arabia. Katika kikao mjini Bahrain, Adel al-Jubeir ...
Mchumba wa Kituruki wa mwanahabari wa Saudi Arabia aliyeuawa kinyama Jamal Khashoggi, amesema leo kuwa hakuna mwenye haki ya kuwasamehe wauaji wa mwandishi huyo, baada ya watoto wake wa kiume kusema ...