Mjane aliye katika mazingira magumu ameachwa bila makao na "anateseka kweli" baada ya kushawishiwa kutuma pauni 85,000 kwa mwanamke ambaye hakuwa mtu halisi-alikuwa mtu feki. Rodrick Lodge, 69, ...
“Utaratibu wa kurudi nyumbani ilikuwa saa 12 jioni ndiyo mwisho, ila siku moja nilichelewa na kufika nyumbani saa moja na nusu usiku, baba yangu aliniambia nirudi huko nilipotoka na ndoa yangu ...